Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Changanua Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Changanua Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Saturday, April 5, 2014

WADAU WA MUZIKI WA DANSI WAKUTANISHWA NA TBC LEO

wadau wa muziki wa dansi wakiwa katika picha ya pamoja

wadau wa muziki wa dansi Asha Kigundula na mwandishi wa gazeti la mwananchi

  Baadhi ya wasanii wa bendi mbalimbali wakiwa katika mdahalo wa muziki wa dansi kutoka kushoto ni King Kiki, Juma Ubao, Mafumo Bilali 'Bombenga' Kassimu Mapili na Waziri Ally

Wadau wa muziki wa dansi wakiwa katika picha ya pamoja baada ya kumalizika mdahalo



Baadhi ya wadau wa muziki wa dansi wakiwa katika meza kuu kushoto ni Mwani Nyangasa, Rose Chitara kushoto ni Muddy Muzungu

  Baadhi ya wadau wa muziki waliojitokeza katika mdahalo wa muziki wa dansi kutoka kushoto ni , Deo Mutta Mwanatanga,Taasisi Masela na  Super Nyamwela wa Extra Bongo.

Mwani Nyangasa kulia akiwa na Richard Mangustino


wadau katika picha ya pamoja. Picha na www.burudanm.blogspot.com


Na mwandishi

WASANII wa muziki wa dansi pamoja na wadau mbalimbali wa mziki huo leo walikutanishwa na Shilika la utangazaji la Taifa TBC kwa ajili ya mdahalo wa kujadili mambo mbalimbali yanayohusu kupolomoka kwa mziki wa dansi nchiniMdahalo huo ulioratibiwa na Dacota Khamis anaetangaza kipindi cha nyumbani ni nyumbani imeleta chachu kwa wasanii hawo kwa kufungua ukurasa mpya baada ya mada mbalimbali kujadiliwa wakati wa mdahalo huo.

Mada zilizozungumzwa :


1. Sababu ya Kuporomoka kwa Muziki wa Dansi, 

2. Mikataba na wajibu wa wamiliki wa bendi kwenye vifo na maradhi, 
3. Ushirikiano wa Wamiliki wa bendi, 
4. Maadili ya uchezaji kwa wanenguaji.

wanamziki hawo ambao mara nyingi walikuwa wakilalamikia vyombo vya habari hususani tv na radio kutokupiga nyimbo zao na kuenderea kuwapa mda mrefu wasanii wa kizazi kipya ambao mara nyingi nyimbo zao azina hubora wa aina yoyote Baadhi ya waliokuwepo; Dacota Khamis, Rose Chitallah, Chacha Sinda, Mody Muzungu, Chiki Mchoma, Sunday Mwakanosya, William Kaijage, Kassim Mapili, Abdul Salvador, Deo Mutta Mwanatanga, Richard Mangustino, Rajabu Mhamila 'Super D', Asha Baraka, Ally Choki, Mwani Nyangasa, Asha Kigundula, King Kiki, Hussein Jumbe, Saidi Kibiriti, Waziri Ally, Juma Ubao, Mafumu Bilali, Othman Suka, Taasisi Masela, mtu wa BASATA na mtu wa TBC.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment