Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Dkt. Mohammed Gharib Bilal, Mkuu wa polisi Kanda Maalum, Suleman kova pamoja na Waziri wa Ujenzi Dk John Magufuli wamenusurika kufa katika ajali ya Helkopta wakati wakiwa wakitaka kuruka kwenda kwenye ukaguzi wa uharibifu wa miundombinu uliosababishwa na mvua kubwa jijini Dar es salaam. Hakuna aliyepoteza maisha wala kuumia.
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment