Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Changanua Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Changanua Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Monday, September 15, 2014

JOPO LA MAJAJI KWA AJILI YA KUMTAFUTA MSHINDI WA TUZO YA RAIS YA HUDUMA ZA JAMII NA UWEZESHAJI YATEMBELEA MIGODI YA WILLIAMSON DIAMOND LIMITED NA NYANZA MINES(TANGANYIKA ) LIMITED

Mgodi wa madini ya almasi wa Williamson Diamond Limited. Mgodi huu ni moja ya migodi inayowania Tuzo ya Rais ya Huduma za Jamii na Uwezeshaji inayotarajiwa kutolewa mapema mwezi Novemba, mwaka huu.

Meneja Mkuu wa mgodi wa Williamson Diamond Limited Bw. Arlen Loehmer ( wa pili kutoka kushoto) akisalimiana na mwenyekiti wa jopo la majaji kwa ajili ya kumtafuta mshindi wa Tuzo ya Rais ya Huduma za Jamii na Uwezeshaji Prof. Samwel Wangwe, mara baada ya jopo hilo kuwasili katika mgodi huo.

Timu ya majaji na sekretarieti ikisalimiana na mmoja wa wakazi wa Uvinza mara ilipofanya ziara katika maeneo yao ili kupata maoni juu ya mchango wa makampuni ya madini katika huduma za jamii na uwezeshaji.

Afisa Mahusiano ya Jamii wa mgodi wa Williamson Diamond Limited Bw. Joseph Kaasa ( wa pili kutoka kulia) akielezea timu ya majaji na sekretarieti mchango wa mgodi huo katika ujenzi wa nyumba ya waalimu wa shule ya msingi ya Mwangombolwa (inayoonekana kwa nyuma)

Msimamizi wa mgodi wa kuzalisha chumvi wa Nyanza Mines (Tanganyika) Limited Bw. Bonny Mwaipopo (mbele) akielezea timu ya majaji na sekretarieti historia ya mgodi huo, pamoja na mafanikio katika utekelezaji wa huduma za jamii na uwezeshaji kwa mwaka 2013.


Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment