Kikundi cha akina mama kikijiandaa kwa ajili ya maandamano ya amani katika maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsi katika viwanja vya Tippi tandale DSM,yaliyoandaliwa na WiLDAF
Mwakilishi kutoka ubalozi wa Marekani Dr.Daniel Moor akisoma bango wakati wa maandamano ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia yaliyoandaliwa na WiLDAF TZ
Wafanyakazi wa WiLDAF Tanzania katika maandamano yya Amani ya maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia.
Wadau wa maendeleo kutoka ubalozi wa Marekani pamoja na Mama Anna Mgwira akifuatilia mada wakati wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Tz
Wadau wa maendeleo kutoka ubalozi wa Marekeani ,Ireland na Un-Women wakishirikishana jambo wakati wa maadhimisho ya siku16 za kupinga Ukatili wa kijinsia
Wakurugenzi wa Shirika la WiLDAF wakifuatilia mada wakati wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia
Mkurugenzi wa WiLDAF Dr.Judith Odunga akitoa mada wakati wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia
Washiriki toka sehemu mbalimbali wakifuatilia mada wakati wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia
Mwalimu Isabela Mashanga akitoa ushuhuda wakati wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia
Mwenyekiti wa Bodi ya wakurugenzi wa WiLDAF Bi Naomi Kaihula akitoa neno la shukurani kwa washiriki katika maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia
Mgeni Rasmi Bi Paulina Mkonongo Mkurugenzi wa Elimu Sekondari akipitia machapisho mbalimbali wakati wa maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia
Kuna Maoni 0 mpaka sasa.
Post a Comment