Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Changanua Blog.

Have you got a good story?

Share your story, discuss the issues with Changanua Blog.

Nafasi Ya Matangazo

Wednesday, November 26, 2014

SHIRIKA LA WANAWAKE KATIKA SHERIA NA MAENDELEO AFRIKA (WiLDAF) LAADHIMISHA SIKU 16 ZA KUPINGA UKATILI WA KIJINSIA JIJINI DSM.

Wanaharakati kutoka shirika la WiLDAF wakiwa katika maandalizi ya matembezi ya maadhimisho ya siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia yaliayoanzia viwanja vya Mnazi mmoja na kuishia katika Ukumbi wa Karimjee hapo jana.

Maandamano ya kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia yakipita katika mitaa mbalimbali jijini Dar es Salaam hapo jana

Maandamano ya kuadhimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia yakipokelewa na Mgeni rasmi Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Anna Maembe

Mgeni rasmi katika siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia Katibu Mkuu wa Wizara ya Maendeleo ya Jamii Jinsia na Watoto, Anna Maembe ambaye alikuwa anamuwakilisha Waziri Mkuu Mh. Mizengo Pinda akitoa hotuba yake.

Mratibu wa Kitaifa shirika la Wanawake katika Sheria na Maendeleo Ndugu Judith Odunga akitoa hotuba yake katika siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia.

Kuna Maoni 0 mpaka sasa.

Post a Comment