Sunday, December 21, 2014
Wafanyakazi wa Rwandair wakipozi katika picha ya pamoja na zawadi zao katika sherehe iliyofanyika mwishoni mwa wiki Serena Hotel, kushoto ni Lucy Ismail RwandAir country manager, Gladys Buhama na Hamida Hamza Reservation staff na kulia ni Eugene Mugisha Airport Station Manager
RwandAir Tanzania Country Manager, Lucy Ismail akifungua sherehe iliyofanyika mwishoni mwa wiki Serena Hotel kwa kukaribisha wageni waalikwa na kutambulisha baadhi ya staff,kulia ni Roshni,Lucy, Mayyada,Gladys na mwisho kushoto ni Naina
Wadau wakipokea zawadi zao mwisho wa sherehe, kutoka kulia ni Anita kutokea kampuni ya Alphazulu na Abdallah kutoka Auckland Tours
Baadhi ya wadau kutoka Kampuni mbalimbali wakiwemo katika sherehe ya Rwandair iliyofanyika ijumaa 19th Dec, Serena hotel
Wafanyakazi wa Rwandair na wageni waalikwa wakipata chakula cha usiku
Winglink nao hawakuwa mbali walikuwa 1st Runner up ambao waliwakilishwa na Jignesh na Mariana
Rickshaw nao waliwakilishwa na Naina na Tausi
Bonvoyage wakipokea cheti cha hukurani kutoka Rwandair
Alphazulu nao walikuwa miongoni mwa waliopokea cheti cha shukurani wakiwakilishwa na Anitha
JMD travels ndio walio ibuka washindi wa kwanza ambao waliwakilishwa na Saurin